Psalms 102:25-26


25 aHapo mwanzo uliweka misingi ya dunia,
nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.

26 bHizi zitatoweka, lakini wewe utadumu,
zote zitachakaa kama vazi.
Utazibadilisha kama nguo
nazo zitaondoshwa.
Copyright information for SwhKC